Vitalis Ong'are ashinda laki tano kupitia mchezo wa Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    612 views

    Vitalis Ong'are kutoka kaunti ya Siaya ndiye mshindi wa hivi punde wa shilingi laki tano kupitia mchezo wa Shabiki Kaende Jackpot.