Vituo vya afya Nairobi washirikiana na sekta ya kawi kuboresha umeme

  • | NTV Video
    55 views

    Kama njia mojawapo ya kuhakikisha huduma za afya hospitalini zinaimarika baadhi ya vituo vya afya hapa Nairobi vimeanzisha mchakato wa kushirikisha washikadau wa sekta ya kawi kuhakikisha huduma ya umeme inasambazwa bila hitilafu yeyote.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya