Vituo vya Iftiin FM na NCTC vyatoa msaada wa chakula

  • | KBC Video
    2 views

    Kituo cha kitaifa cha kukabiliana na ugaidi kwa ushirikiano na kituo cha redio cha Iftiin cha shirika la utangazaji la kenya-KBC kinachopeperusha mtangazao yake katika lugha ya Kisomali kimetoa msaada ya chakula kwa shule ya watoto walio na matatizo ya kiakili. Msaada huo ni sehemu ya kituo cha Iftin na kituo cha kitaifa cha kukabiliana na ugaidi ya kusaidia jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive