18 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 97 views Kujengwa kwa vituo viwili vya maafisa wa polisi wa akiba eneo la Laikipia North kunalenga kusaidia kupigana na wezi wa mifugo wanaotumia hifadhi ya Maiyanat kusafirisha mifugo walioibwa hadi kaunti jirani za Samburu na Isiolo.