Vituo vya Redio vimeendelea kujumuika na mashabiki Busia

  • | Citizen TV
    82 views

    Vituo vya redio vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services vimezuru maeneo mbalimbali nchini wikendi hii. Muuga FM ilikuwa maeneo ya Meru kwa ibada ya Jumapili, huku Radio Citizen ikifika kaunti ya Busia kwa ibada na shughuli za mauzo