1 Nov 2025 8:53 pm | Citizen TV 344 views Duration: 1:26 Mwanamuziki chipukizi Stella Maina kutoka Kaharati, Kaunti ya Murang’a, amepata fursa adimu ya kurekodi video ya Mizuki wake bila malipo kwa hisani ya Viusasa.