Spika Pelosi azuru Taiwan, akutana na viongozi wa kisiasa

  • | VOA Swahili
    2,089 views
    Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi alikutana na viongozi wa kisiasa wa Taiwan katika mji mkuu wa Taipei kabla ya kuondoka katika kisiwa hicho. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.