VOA DUNIANI LEO: Harakati za mwisho mwisho kujiandaa kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya

  • | VOA Swahili
    3,315 views
    Wanasiasa na tume ya uchaguzi ya IEBC nchini Kenya Ijumaa walikuwa katika harakati za mwisho mwisho kujiandaa kwa uchaguzi mkuu katika taifa hilo la Afrika Mashariki huku baadhi ya Wakenya ndani na nje ya nchi wakiwa na maoni mbalimbali kuhusu zoezi hilo la Jumanne wiki kesho. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.