VOA DUNIANI LEO OCTOBER 13, 2021

  • | VOA Swahili
    Kenya imeyakataa kabisa maamnuzi ya mahakama ya kimataifa ya haki ICJ kwa kuipendelea Somalia katika mzozo wa muda mrefu wa mipaka ya baharini baina ya mataifa hayo mawili, na kuongezea kwamba hili linatia wasi wasi mkubwa sana juu ya uamuzi huo na athari zake katika ukanda huo