VOA ilizungumza na Profesa Charles Kupchan, kuhusu suala la mashariki ya kati.

  • | VOA Swahili
    192 views
    Charles Kupchan ni profesa wa masuala ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha Georgetown na mtaalam mwandamizi katika Baraza la Mahusiano ya Nje, Marekani ilikuwa nchi ya kwanza kuitambua Israel Mei 14, mwaka 1948, siku ambayo iliundwa kuwa taifa huru. Tangu wakati huo, Marekani imedumisha ushirikiano wa karibu na Israel, hususan wakati na kufuatia vita vya Siku Sita mwaka 1967 kati ya Israel na majirani zake Waarabu.