VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi

  • | VOA Swahili
    43 views
    Kuanzia tarehe 1 Oktoba, VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi kipindi kipya chenye uchambuzi, makala maalum, teknologjia na mengine mengi. Pia tunapatikana kupitia televisheni zingine washirika kote AFrika Mashariki na Kati. Usikose… #azamtv #tanzania #citizentv #kenya #jaridalawikiendi #kipindikipya #uchambuzi #makalamaalum #afrikamashariki #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.