| VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    296 views
    -Uhalifu wa jinai baina ya mipaka ya mataifa wanachama wa shirikisho la IGAD ni changamoto kwa vyombo vya usalama na idara za mahakama. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya hali ilivyo baina ya nchi hizi katika kutafuta suluhisho la kudumu. #uhalifu #jinai #mipaka #mataifa #wanachama #shirikisho #igad #voa #voaswahili #dunianileo - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.