Volodymyr Zelensky: ''Tunastahili kuchukua hatua sasa''

  • | BBC Swahili
    1,843 views
    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amefafanua matamshi ambayo alionekana kutoa wito kwa washirika wa kimataifa kufanya "mashambulizi ya mapema" dhidi ya Urusi ili kukomesha Moscow kutumia silaha za nyuklia. Ameiambia BBC kwamba alikuwa anazungumza kuhusu kuweka vikwazo vya kabla ya kutekelezwa. #bbcswahili #urusi #ukraine