Skip to main content
Skip to main content

Vurugu na Machafuko nchini Tanzania

  • | Citizen TV
    94,139 views
    Duration: 4:02
    Watu kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha yao katika machafuko ya uchaguzi ambayo yamekumba taifa jirani la Tanzania. Hii ni kufuatia makabiliano makali ya siku ya tatu kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi. Mataifa mbali mbali sasa yametoa tahadhari za kiusalama kwa raia wao wanaoishi Tanzania.