Vuta ni kuvute yashuhudiwa baina ya wakaazi na viongozi kuhusu kitakachojengwa chuo cha Nyamira

  • | Citizen TV
    193 views

    Vuta ni kuvute inaendelea kushuhudiwa kati ya wananchi na viongozi katika kaunti ya Nyamira, kuhusu kitakajengwa chuo Kikuu cha Nyamira. Wananchi kutoka eneo la Kitutu Masaba waliandamana, wakidai maafikiano ya mkutano wa kukusanya maoni yamekiukwa kama anavyoarifu Dancun Bundi.