Vuuka FM yasherehekea miaka 12

  • | Citizen TV
    687 views

    Vuuka FM ambayo ni mojawapo ya redio zinazomilikiwa na kampuni ya habari ya Royal Media Services ilisherehekea miaka 12 tangu kuanzishwa kwake. Kwa sherehe zilizoandaliwa kwa ushirikiano na benki ya Equity mjini mbale kaunti ya Vihiga, mamia ya mashabiki walijitokeza kutangamana na watangazaji wa kituo hiki cha redio na hata kupata mafunzo kuhusu huduma za benki ya Equity kwenye mitandao. Meneja wa redio Vincent Ateya, akiwashukuru wasikilizaji wa Vuuka FM inayopeperusha matangazo yake kwa lugha ya kimaragoli akiahidi vipindi bora zaidi