Vyama tanzu vya Azimio vimejitenga na serikali ya muungano

  • | Citizen TV
    5,376 views

    Uteuzi wa baraza la mawaziri ambao Rais William Ruto ametaja kuwa ambao utakuwa wa serikali ya muungano na kuashiria kushirikishwa kwa upinzani umezidi kusababisha mpasuko kwenye muungano wa azimio huku baadhi ya vyama tanzu vya muungano huo vikijitokeza muda mfupi kabla ya tangazo la rais kusisitiza kuwa havina nia yoyote ya kuunda serikali ya muungano wa kitaifa