Vyama vya kisiasa vyatakiwa kutoa taarifa za kifedha

  • | KBC Video
    5 views

    Mhasibu mkuu wa serikali Nancy Gathungu ametoa changamoto kwa vyama vya kisiasa kudumisha uwazi, uwajibikaji na uadilifu ili kuimarisha imani ya umma kwa vyama hivyo. Akiongea jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa mwongozo kuhusu sera na kanuni za akaunti za kifedha za vyama vya kisiasa na mfumo wa utoaji zabuni, Gathungu alisema imani ya umma itaimarisha vyama vya kisiasa na kupiga jeki uthabiti humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive