Vyama vya ODM na PAA vyapimana nguvu katika eneo la Pwani

  • | Citizen TV
    1,157 views

    Ubabe wa kutafuta umaarufu Pwani kupitia vyama umeshika kasi baada ya wanachama waliohamia chama cha ODM kukihama tena na kujiunga na chama cha PAA.