Vyama vya UASU, KUSU, KNUT vimewaunga mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    986 views

    Vyama zaidi vya wafanyikazi wa umma vimetangaza kuwaunga mkono madaktari na wahudumu wa afya wanaogoma nchini. Vyama vya walimu vya knut, kuppet, na uasu pamoja na vyama vya mabaharia na hata wafanyakazi wa vyuo vikuu, vimesema vinaunga mkono madaktari kudai haki yao kwa serikali. Emily Chebet anaarifu huku madaktari wakisema kuwa katu hawatarejea kazini