Vyama vya UPA na UDA vyajiandaa kwa usajili wa wanachama

  • | Citizen TV
    357 views

    Huku vyama vya kisiasa vikijiandaa kwa chaguzi za viongozi wapya, vyama vya UPA kinachoongozwa na Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo na UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto, vimeandaa hafla za hamasisho na usajili wa wanachama wapya na wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali za uongozi wa chama katika kaunti ya Nyamira