Vyama vya wafanyakazi wa sekta ya umma vitaungana na madaktari kila Jumanne katika maandamano

  • | K24 Video
    45 views

    Vyama vya wafanyakazi wa sekta ya umma vitaungana na madaktari kila Jumanne katika maandamano yao, wakipinga vikali matamshi ya maafisa wa serikali yanayohusu utendakazi na ajira zao. Miongoni mwa malalamiko ya vyama hivyo ni mabadiliko ya masharti ya ajira na ukiukaji wa mikataba ya majadiliano ya pamoja, ambayo wanasema inaathiri mamia kwa maelfu ya wafanyakazi wa sekta ya umma.