Vyama vya wafanyakazi wa umma vyawasilisha maombi yao kwa spika wa bunge la kitaifa

  • | K24 Video
    74 views

    Msemo "punda amechoka" unazidi kuwa maarufu kila kuchapo hasa miongoni mwa miungano ya wafanyakazi wa umma, ambayo inalalamikia hali ngumu ya uchumi. Vyama vya wafanyakazi wa umma hii leo vimewasilisha maombi yao kwa spika wa bunge la kitaifa, kupinga vipengele fulani vya mswada wa fedha wa 2023, hasa ushuru wa 3% kwa nyumba. wafanyakazi hao wametishia kugoma iwapo mswada huo utapitishwa bungeni.