19 Aug 2025 1:20 pm | Citizen TV 488 views Duration: 1:57 Vyama vya wafanyakazi katika sekta ya afya vinalalamikia baadhi ya kampuni za bima kwa kudunisha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wakiongozwa na katibu mkuu wa chama cha madaktari nchini KMPDU, DKT.