Vyama zaidi vya wahudumu wa afya vyajiunga na mgomo wa madaktari

  • | KBC Video
    32 views

    Maoni tofauti yametolewa kuhusu namna ambavyo serikali inashughulikia mgomo wa madaktari ambao umeingia siku ya 27. Huku wabunge kutoka upinzani wakiunga mkono mgomo huo, wabunge wanaoegemea upande wa serikali wanawataka madaktari kulipa bunge wakati wa kuchunguza malalamishi yaliyowasilishwa kwao na kutoa mwongozo ufaao. Haya yanajiri huku vyama zaidi vya wahudumu wa afya vikijiunga na mgomo huo ili kushinikiza masharti bora ya kazi kwa wanachama wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News