Vyanzo vya ulinzi: Uharibifu ulioletwa na shambulizi la Israeli
Watu walikusanyika Alhamisi asubuhi (Februari 15) mji wa Nabatieh ulioko kusini mwa Lebanon karibu na magari ya kubeba wagonjwa, wakikagua uharibifu na kifusi cha jengo lililopigwa kwa kile vyanzo vilisema ilikuwa ni shambulizi la Israeli.
Shambulizi hilo katika jengo Jumatano jioni (Februari 14) liliuwa wanawake wasiopungua watatu, watoto kadhaa na mwanaume mmoja, kulingana na mkurugenzi wa hospitali ya mji huo, Hassan Wazni, na vyanzo vingine vitatu vya usalama. Watu kadhaa pia walijeruhiwa, Wazni aliliambia shirika la Reuters. Mwanamke mmoja na watoto wawili waliuawa katika shambulizi jingine mapema siku hiyo.
Wanamgambo wa Hezbollah kadhaa waliuawa pia na shambulizi hilo la Israeli katika vijiji vilivyopo kusini mwa Lebanon siku ya Jumatano, vyanzo vitatu vya usalama vya Lebanon vilisema, wakati Israel ilisema ilijibu shambulizi la roketi la Hezbollah ambalo lilimuua mwanajeshi wake.
Hezbollah na jeshi la Israeli wamekuwa wakishambuliana kwa silaha katika mpaka wa Israel na Lebanon kwa zaidi ya miezi minne, baada ya kikundi chenye silaha cha Lebanon kushambulia kwa roketi upande wa pili wa mpaka ambao unagombaniwa wakiwaunga mkono washirika wake Wakipalestina Hamas.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran
12 Jul 2025
- His resignation coincided with another senior government official's resignation on the same day.
12 Jul 2025
- Gachagua spoke while in the US where he is currently in a tour.
12 Jul 2025
- Raila and Ruto entered into a formal political agreement in May 2025, forming a broad-based government.
12 Jul 2025
- A court in Madagascar has sentenced a man to surgical castration for the rape of a child in 2024, a judicial official said, in the first such measure on the Indian Ocean island.
12 Jul 2025
- Ukrainian drone and shelling attacks killed three people in Russia on Friday, while Russian bombardments on eastern Ukraine forced the evacuation of a maternity centre in Kharkiv and wounded nine.
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.
12 Jul 2025
- His resignation coincided with another senior government official's resignation on the same day.
12 Jul 2025
- Canada's recent concessions to Trump appear to have yielded, to date, little result.
12 Jul 2025
- Singer and influencer Diana Marua was left surprised after her eldest son, Morgan, revealed his future marriage plans.
12 Jul 2025
- East African Legislative Assembly Member of Parliament (MP) David Sankok has shared a remarkable journey of how he
12 Jul 2025
- Gachagua spoke while in the US where he is currently in a tour.
12 Jul 2025
- 'If we did have our own capability, we would not have been left at the mercy of the West.' - Uhuru
12 Jul 2025
- Twalib says Ruto has empowered women and youth at the grassroots levels.