Skip to main content
Skip to main content

Vyuo vikuu vyaonywa kuhusu kozi ambazo hazijaidhinishwa

  • | Citizen TV
    73 views
    Duration: 1:43
    Tume ya elimu ya vyuo vikuu imetishia kutwaa leseni za kuhudumu za Vyuo vikuu ambavyo vinatoa masomo ambayo hayajaidhinishwa. Akitoa ilani hiyo, Afisa mkuu wa tume hiyo Mike Kuria amesema kuwa tayari vyuo kumi na vitano vilivyokuwa vikihudumu kinyume na sheria vimepkonywa leseni.Wakati huo huo, vyuo vikuu vimetakiwa kukumbatia teknoljia za kisasa zinazochipuka, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaohitimu wana ujuzi utakaowapa ushindani wa kikazi kokote duniani.