Waadhiriwa wa ujangili Samburu mashariki wataka serikali kuwasaidia

  • | Citizen TV
    216 views

    Waadhiriwa wa wizi wa mifugo wanao piga kambi katika eneo la Angata, Samburu kaskazini wako kwenye hatari ya kukumbwa na mlipuko wa maradhi kama vile Kipindupindu kutokana na ukosefu wa vyoo na maji safi