Waajiri walaumiwa kwa kutowalipa vyema wafanyakazi kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    135 views

    Miungano ya vyama vya watetezi wa wafanyakazi katika kaunti ya Busia wamejumuika pamoja na wakazi, machifu na wazee wa nyumba kumi kwenye maonyesho ya barabarani mjini Busia kuhusu taratibu za usafiri na ajira katika nchi za nje.