Waakilishi Wadi katika kaunti ya Kajiado wasitisha vikao vya bunge

  • | KBC Video
    20 views

    Waakilishi Wadi katika kaunti ya Kajiado wamesitisha vikao vya bunge hilo ili kushinikiza serikali kutimiza matakwa yao yakiwemo kurejeshwa kwa fedha walizokatwa kwenye mishahara yao. Kupitia hoja iliyowasilishwa jana na kiongozi wa wengi katika bunge hilo, John Lemeiya, waakilishi wadi hao walipiga kura kuunga mkono kusitisha shughuli za bunge hilo hadi tarehe-6 mwezi mwezi julai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC