Waalimu waandamana Uingereza, wadai wamechoshwa hawawezi kuendelea na kazi

  • | VOA Swahili
    407 views
    - Mgomo mkubwa ulifanyika nchini Uingereza ikihusisha makundi mbalimbali ya wafanyakazi wakiwemo watumishi waandamizi wa serikali na wafanyakazi wa huduma ya reli. Waalimu ni mara ya kwanza wamejiunga na mgomo. - Wafanyakazi hao wameandamana wakishinikiza serikali kuwaongeza mshahara na kutengeneza mazingira bora zaidi ya kazi. #mgomo #uingereza #wafanyakazi #watumishi #serikali #shirikalareli #waalimu #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.