Skip to main content
Skip to main content

Waandamanaji wachoma ofisi za UDA mjini Wote, Makueni

  • | Citizen TV
    1,211 views
    Huko Makueni waandamanaji wameteketeza afisi za chama cha UDA mjini Wote huku hali tete ikizidi kutanda katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo. Usafiri umelemazwa na haswa kwenye barabara kuu ya Mombasa kueleka Nairobi.