Waandamanaji wajitokeza New York karibu na UN kulaani udhalimu dhidi ya raia Sierra Lione

  • | VOA Swahili
    399 views
    Wakuu wa Nchi kutoka kote ulimwenguni wamekusanyika New York kwa ajili ya Majadiliano ya Jumla yaliyoanza Jumanne. Maandamano hayo yanafanyika nje kidogo ya Makao Makuu ya UN, jijini New York, Marekani. #unga #voaunga #unga78 #sierralione #mauaji - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.