Waandamanaji walimenyana na polisi katika mtaa wa Jacaranda

  • | Citizen TV
    5,526 views

    Katika mtaa wa Jacaranda eneo la Donholm hapa Nairobi ambapo ilikuwa mguu niponye kwa waandamanaji waliojitokeza kutaka kuhudhuria maandamano. Kizaazaa cha leo katika eneo hili kikisababisha kukamatwa kwa watu kadhaa na patashika kati ya maafisa wa usalama na wafuasi wa Azimio.