Waandamanaji wawili washukiwa wa maandamano mji Nanyuki, waachiliwa kwa dhamana na mahakama Nanyuki

  • | NTV Video
    169 views

    Waandamanaji wawili wanaoshukiwa kuongoza waandamanaji katika mji wa Nanyuki kaunti ya laikipia wameachiliwa kwa dhamana na mahakama ya Nanyuki Maafisa wa upelelezi walikuwa wamewasilisha ombi mbele ya mahakama, wakitaka Joyce Wangui Maina na Peter Mwangi Wangai wazuiliwe kwa siku 14 ili kuwawezesha kukamilisha uchunguzi. Hata hivyo Hakimu Mkazi wa Nanyuki ED. Deche alitupilia mbali ombi hilo kwa uamuzi kwamba hakukuwa na sababu za msingi za kuwaweka kizuizini kwa wiki 2, akionyesha kuwa wapelelezi walikuwa na muda wa kutosha wa kujiandaa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya