Waandamanajii DRC wadai Jumuiya ya kimataifa yafumbia macho ghasia nchini humo

  • | VOA Swahili
    377 views
    Wimbi la maandamano limeikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, dhidi ya nchi za Magharibi, wakishutumu kile walichosema ukimya wa Jumuiya ya Kimataifa kutokana na vifo vinavyosababishwa mapigano kati ya waasi wa M23 na jeshi la Congo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.