Waandishi wa habari waandamana jijini Nairobi

  • | TV 47
    33 views

    Chama cha wahariri wa habari nchini (KEG), pamoja na muungano wa waandishi wa habari nchini (KUJ) na wadau wengine wa vyombo vya habari mapema hii leo wameongoza maandamano ya wanahabari wa vituo mbalimbali jijini Nairobi kuonyesha ghadhabu zao dhidi ya ukatili wa polisi wakati wa maandamano ya Gen Z.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __