Waandishi wa habari waongoza zoezi la kukabili funza katika eneo la Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    340 views

    Waandishi wa habari katika kaunti ya Trans Nzoia waliungana kuongoza kampeni ya kuwasaidia watu wanaoishi na funza katika eneo hilo. Wito wa anahabari hawa ukiwa kwa jamii kujitokeza zaidi kusaidia wanaoishi na maradhi kwenye jamii Collins Shitiabayi alikuwakijiji cha Khalwenge, Eneo bunge la Endebess na kuandaa taarifa ifuatayo.