Waandishi wanne wa riwaya kutoka Tanzania watuzwa

  • | Citizen TV
    228 views

    Waandishi wanne wa riwaya na mashairi kutoka Tanzania ndio waliibuka kidedea kwenye mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika. Washindi hawa walikuwa miongoni mwa waandishi wanane walioorodheshwa kwa tuzo hii kati ya takriban miswada 200 ya riwaya na mashairi iliyowasilishwa kwenye mashindano haya