Waangalizi wa kimataifa watembelea kituo cha kupiga kura Mombasa

  • | VOA Swahili
    116 views
    Waangalizi wa kimataifa watembelea kituo cha kupiga kura kushuhudia matayarisho ya upigaji kura katika Shule ya Upili ya Alidina moja ya vituo 290 ya kuhisabu na kujumuisha kura mjini Mombasa. Tume ya Uchaguzi IEBC imegawa vifaa vya kupigia kura katika vituo vyote jimbo la Mombasa. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.