Waarabu weusi wataka kusikilizwa

  • | BBC Swahili
    Kifo cha George Floyd nchini Marekani kimetoa msukumo kwa Waarabu weusi kuandamana katika mataifa yao dhidi ya ubaguzi wa rangi na unyanyapaa. Wakosoaji nchini Tunisia wamesema ubaguzi wa rangi umeendelea kupuuzwa. #ubaguziwarangi #bbcswahili #Waarabu