Waasi nchini Myanmar 'waonesha' kambi ya jeshi iliyotekwa

  • | BBC Swahili
    1,132 views
    Serikali ya kijeshi nchini Myanmar inakabiliwa na changamoto ambayo haljawahi kushuhudiwa huku makundi ya waasi katika jimbo la kimkakati la Shan linalopakana na China wakichukua takriban miji mitatu. Pia kuna mapigano kwenye mpaka wa Myanmar na India kati ya kundi lingine la waasi na jeshi. Maelfu ya watu wanakimbilia India. #bbcswahili #myanmar #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw