Waathiriwa 1000 wa mafuriko huko Garissa ambao wanaishi kwenye kambi wamepokea chakula cha msaada

  • | KBC Video
    9 views

    Takriban waathiriwa elfu moja wa mafuriko huko Garissa ambao wanaishi kwenye kambi wamepokea chakula cha msaada na bidhaa nyingine kutoka kwa shirika lisilo la serikali la Muslim World League wanapotarajia kurejea nyumbani kwao mwishoni mwa mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News