Waathiriwa 200 watoroka Bula Hawa Somalia na kuingia Kenya

  • | Citizen TV
    140 views

    Waathiriwa zaidi ya 200 kutoka Bula Hawa nchini Somalia wamehama makazi yao na kutorokea nchini Kenya kufuatia migogoro kati ya wanajeshi wa Jubaland na wale wa serikali ya Somalia