Waathiriwa wa dhuluma sasa wadai haki zao

  • | Citizen TV
    773 views

    Waathiriwa wa dhulma za kijinsia waliokuwa wafanyikazi wa Shirika la Wildlife Works kaunti ya Taita Taveta wanadai haki baada ya kampuni hiyo kukataa kuwarejesha kazini. maafisa wawili wa kampuni hiyo walisitishwa kazi mwaka jana kutokanatuhuma za dhulma dhidi ya wafanyikazi wa kike. Kampuni hiyo inadaiwa kuwashurutisha wanawake walioripoti visa hivyo kuandika barua za kuacha kazi.