Waathiriwa wa dhuluma za kijinsia wajengewa kituo eneo la Fumbini

  • | Citizen TV
    194 views

    Ni afueni kubwa kwa watu wanaopitia dhulma za kijinsia kaunti ya Kilifi baada ya serikali ya kaunti hiyo kushirikiana na mashirika mengine kufungua kituo maalum cha kushughulikia waathiriwa