- 733 viewsDuration: 2:41Familia za waathiriwa pamoja na manusura wa maandamano ya mwaka 2024 na ghasia za uchaguzi wa mwaka 2017 wana hadi tarehe tatu mwezi Aprili kuwasilisha malalamishi na ushahidi wa udhulma kwa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNCHR). Ripoti hizo zitatumika kubaini watakaofidiwa