Waathiriwa wa maandamano bado wanaumia miezi miwili baadaye

  • | Citizen TV
    355 views

    Baadhi ya vijana walioathirika na maandamano wameendelea kuuguza majeraha, miezi miwili baada ya maandamano ya juni 25. Vijana hawa sasa wakisema wanakosa mbinu za kujikimu baada ya risasi walivyofyatuliwa wakati huo kusimamisha kabisa shughuli zao