- 376 viewsDuration: 3:50Waathiriwa wa mafuriko eneo bunge la budalang’i kaunti ya Busia wamehamasishwa kuhusu jinsi ya kuishi na kuishi katika mandhari hayo magumu. Waathiriwa hao haswa watoto wa kike hupitia masaibu mengi kama vile kupachikwa mimba wakiwa wachanga na kuasi masomo mbali na kukosa bidhaa muhimu kama vile sodo.