Waathiriwa wa mafuriko Budalangi waiomba serikali kuwapa msaada

  • | Citizen TV
    114 views

    Waathiriwa Wa Mafuriko Eneo La Budalangi Kaunti Ya Busia Wanairai Serikali Kuwakumbuka Na Kuhakikisha Kuwa Wanapata Mahitaji Muhimu Sasa Ambapo Wamehamia Kambini Baada Ya Nyumba Zao Kusombwa Na Maji. Waathiriwa Hao Wanaomba Msaada Wa Bidhaa Za Kimsingi Wakilalamikia Mahangaiko Kila Kuchao.